Timu ya
taifa ya Ureno imefuzu kombe la dunia baada kuifunga Sweden kwa ushindi jumla
wa magoli manne kwa mawili baada ya michezo ya mikondo miwili.
Nahodha wa
Ureno Cristiano Ronaldo aliifungia Ureno magoli matatu wakati yale ya Sweden
yalifungwa Zlatan Ibrahimovic kwenye mchezo mkali wa kuvutia.
Cristiano Ronaldo akishangilia goli lake la kwanza.
Ureno
wanaungana na mataifa ya Croatia,Ufaransa , na Ugiriki yaliopitia kwenye kapu
la mtoano wa kufuzu kombe la dunia litakalofanyika mwakani nchini Brazil.
Timu
zitakazoshiriki kombe la dunia ni.
Asia: Australia, Iran, Japan, South Korea
Ulaya : Belgium, Bosnia-Hercegovina, Croatia, England, France, Germany, Greece, Italy, Netherlands, Portugal, Russia, Switzerland, Spain
Amerika ya kaskazini na Caribbean: Costa Rica, Honduras, United States
America kusini: Argentina, (wenyeji) Brazil, Colombia, Ecuador, Chile.
Leader: Ronaldo's third goal sealed a 3-2 win on the night and a 4-2 aggregate victory for Portugal
0 comments:
Post a Comment