Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bi. Maria Kashonda (kushoto) akizungumza katika kikao kilichofanyika leo (Alhamisi Oktoba 10, 2013) uchambuzi wa maoni ya Rasimu ya Katiba Mpya yaliyowasilishwa kutoka katika Mikutano ya Mabaraza ya Katiba iliyomalizika hivi karibuni.Kulia ni Mjumbe wa Tume hiyo, Bw. Yahya Msulwa.
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Mwatumu Malale (kushoto) Kulia ni Mjumbe wa Tume, Prof. Mwesiga Baregu.
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bw. Awadh Said (kushoto) akibadilishana mawazo na wajumbe wengine wa Tume, Bi. Mwatumu Malale na Prof. Mwesiga Baregu wakati wa kikao kilichofanyika leo (Alhamisi Oktoba 10, 2013) cha uchambuzi wa maoni ya Rasimu ya Katiba Mpya yaliyowasilishwa kutoka katika mikutano ya Mabaraza ya Katiba iliyomalizika hivi karibuni.
Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, kutoka (kulia) Prof. Palamagamba Kabudi, Alhaj Said El- Maamry, Bi. Kibibi Hassan na Bi. Esther Mkwiz.
KUTOKA MICHUZIBLOG
KUTOKA MICHUZIBLOG
0 comments:
Post a Comment