Hii ndio video ya wimbo cheza bila kukunja goti ya MWANA F.A & A.Y ft J.MARTINS iliyopigwa promo ya kutosha na inasemekana imepitishwa kuchezwa katika vituo vikubwa vya televisheni barani afrika ambavyo vinajihusisha na music TRACE NA CHANEL O, je video hii inakidhi vigezo na kukuvutia mtazamaji?
CHEKI NAYO HAPA CHINI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment