Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Janet Mbene (katikati), Kamishna wa Bima, Bw. Israel Kamuzora (kulia) na Mwenyekiti wa Bodi ya Bima ambaye pia ni Katibu Mkuu Ikulu, Mhe. Peter Ilomo (kushoto) wakishangilia wakati wa Maadhimisho ya 16 ya kila mwaka ya Siku ya Bima nchini jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Benki ya NMB, pamoja na baadhi ya makampuni mengine yalidhamini maadhimisho hayo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Bima ambaye pia ni Katibu Mkuu Ikulu, Mhe. Peter Ilomo (kushoto), akizungumza wakati wa maadhimidho hayo jijini Dar es Salaam. Katikati ni Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Janet Mbene na kushoto kwa Naibu Waziri ni Kamishna wa Bima, Bw. Israel Kamuzora. Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Benki ya NMB, pamoja na baadhi ya makampuni mengine yalidhamini maadhimisho hayo.
0 comments:
Post a Comment