Kutoka kulia meneja mauzo wa Tbl mkoa wa Iringa Philip Kubecha, meneja wa bia ya Safari lager Oscar Shelukindo, mgeni rasmi John Kiteve, na katibu wa chama cha pool mkoa wa Iringa.
Kulia meneja mauzo mkoa wa Iringa Philip Kubecha akitoa neno kwa washiriki wa shindano la safari lager national pool championship lililofikia tamati leo kwa timu ya Garden kuibuka mabingwa kwa kuwavua ubingwa timu ya nginja master.
Meneja wa safari lager Oscar Shelukindo akiwashukuru wachezaji na mashabiki wa pool waliojitokeza katika ukumbi wa hallfare kushuhudia mashindano hayo.
Mgeni rasmi wa pili kutoka kushoto John Kiteve akizungumza na wachezaji, na mashabiki wa mchezo wa pool mkoa wa iringa kabla ya kukabidhi zawadi
Bingwa wa safari lager national pool championship single kwa upande wa wanaume God love akipokea kitita chake kiasi cha shilingi 350,000 kutoka kwa meneja wa bia ya Safari lager Oscar Shelukindo
Bingwa wa upange wa safari lager national pool championship wanawake single Naomi Ngede akipokea zawadi ya fedha taslim shilingi 250,000
Captani wa mabingwa wa safari lager national pool championship mkoa wa iringa Said akikabidhiwa zawadi ya fedha kwa bingwa shilingi laki saba, pia watauwakilisha mkoa huo katika fainal za taifa mkoani Morogoro.
Garden wakikabidhiwa kikombe cha ushindi
Captan wa timu ya Garden akifanya mahojiano na mwandishi wa habari mara baada ya kukabidhiwa zawadi zao.
Mmiliki wa matandao huu na mdau wa mchezo huo yahaya mohamedy wa pili kutoka kulia akishow love na wadau
Watangazaji wa radio Ebony Fm Yahaya Mohamedy Mkazuzu (kushoto) na Yusuph Mkule wakipozi baada ya fainal
0 comments:
Post a Comment