Tembo wakiwa kwenye maeneo wanayoishi watu ndani ya hifadhi ya taifa ya Ruaha, Tembelea hifadhi hii ujionee maajabu ya kusini.
Hawa wanaitwa punda mlia nao wanapatikana hifadhi ya ruaha
mti mkubwa wa mbuyu unapatikana katika hifadhi ya taifa ya ruaha mkoani iringa
0 comments:
Post a Comment