Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imekubali
kumwachia Mkurugenzi wa Usalama wa Chama Cha Demokrasia na
Maendeleo(Chadema), Wilfred Lwakatare kwa dhamana ya Sh10Milioni.
Hatua hii imekuja baada ya mapema asubuhi ya leo mahakama hiyo ilisema dhamana ipo wazi kwa kiongozi huyo.
lwakatare anakabiliwa na tuhuma za kuteka mwandishi wa habari.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment