Main Menu

Friday, May 3, 2013

SHOW YA MIAKA 13 YA LADY JAY DEE KWENYE MUSIC KUSINDIKIZWA NA WAKALI WA THT.

List ya wasanii ambao watamshindikiza Lady Jaydee aka Komando aka Anaconda kwenye sherehe za miaka 13 na uzinduzi wa Album yake mpya ya 6 'Nothing but the Truth'.Kwa mujibu wa ukurasa wa facebook wa Lady Jaydee wasanii ambao wataperform ni TID, Hamza Kalala, Barnaba, Grace Matata,Linah,Profesa Jay na Matonya
Itakuwa ni tarehe 31 May kama unavyoona kwenye Posters pande za Nyumbani Lounge.Tickets za show ya miaka 13 ya LADY JAYDEE za VIP, 50,000/= zitaanza kuuzwa tarehe 10 May 2013.
Katika ticket hii utapata Dinner, Wine zitakuwepo mezani pamoja na free CD Album mpya.
Meza ziko 50 tu zenye viti 10@. Wahi nafasi yako mapema.

Ticket zingine za 20,000/= zitauzwa mlangoni siku ya show ambayo ni tarehe 31 May 2013
Na utapata CD Album ya Nothing But The Truth Bureeeee.
#Anacondastyle itahusika
KAZI NI KAZI MURAAAAAA KAMUAAAAAAAA

0 comments:

Post a Comment