Main Menu

Sunday, May 19, 2013

NEY WA MITEGO, DIAMOND WAFANYA KUFURU DAR LIVE, MATUKIO KATIKA PICHA

jamani eeeeeeee music gani mara bangi mara matusiiiiiiiiiiiii
mi hapa nilikua naangalia viatu alivyovaa ney
hakuna kusimuliana kila mtu alijitokeza
Diamond na Ney wakiwapagawisha mashabiki.
true boy akisema na wana
Diamond aka baba penny kazini na kundi lake.
Ney wa Mitego akilishambulia jukwaa la Dar Live.
Diamond na kundi lake katika pozi kabla ya makamuzi.
DAR Live usiku wa kuamkia leo ilitikisika baada ya mashabiki kujitokeza kwa wingi kushuhudia onyesho la pamoja kati ya wanamuziki wawili nyota wa kizazi kipya, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' na Ney wa Mitego ambao walikuwa wakizindua video ya wimbo wao wa 'Muziki Gani'.
Wanamuziki hao kwa pamoja walitoa burudani ya nguvu ambayo ilizikonga nyoyo za mashabiki waliofurika katika ukumbi huo wa maraha uliopo Mbagala Zakhem, jijini Dar.
(PICHA ZOTE NA ISSA MNALLY/GPL)

0 comments:

Post a Comment