Main Menu

Saturday, April 13, 2013

NAULI MKOANI IRINGA ZAPANDA KIBABE, MABANGO YA NAULI YASIYO RASMI YABANDIKWA KWENYE DALADALA

Hili ni moja ya bango lililobandikwa kwny moja ya daladala ielekeayo kihesa kilolo, sumatra mpo wapi? si mmetangaza nauli zinapanda kwa jiji la dar es salaam pekee?

0 comments:

Post a Comment