Main Menu

Saturday, April 6, 2013

MWANAMUZIKI WA KIZAZI KIPYA SHILOLE ALIVYOFANYA YAKE CLUB TWISTERS MKOANI IRINGA WEEK END HII


 warembo walioingia fainali ya mkali wa kuvaa viatu virefu na swagger
                                         miguu hiyoooooooooooooo


    mshindi wa shindano la aliyevaa viatu virefu, miguu mizuri na swagger akihakiki mkwanja wake kiasi cha sh laki mbili alizoshinda lkn kwa roho yake yakipekee aliwapa washindani wake elfu 50 kila mmoja na yeye kubaki na laki moja.


 DJ Kwasa  na DJ Allen Philip kazini

mcheza show wa shilole kazini

shilole mwenyewe kazini






ilikua kazi kweli kweli
 hawa uvumilivu uliwashinda wakapanda stage kutoa kampani kwa mdada



0 comments:

Post a Comment