UONGOZI WA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA MBEYA WALAZIMIKA KUJIUZULU BAADA YA WANACHAMA KUKOSA IMANI NA BAADHI YA VIONGOZI
WANGAPI WANASEMA MWENYEKITI AJIUZULU ? |
FESTO SIKAGONAMO AKISOMA
TAARIFA YA KAMATI KUU NA KUSEMA KUWA KAMATI KUU ILIDHARAULIWA NA MWENYEKITI
|
CHARLES MWAKIPESILE AKISEMA KUWA
ANAJIUZULU KWASABABU HAYUPO TAYARI KUCHANGANYIKANA NA KUFANYA KAZI NA VIONGOZI
WABADHILIFU NA YEYE ALIKUWA MJUMBE WA KAMATI KUU.
|
RASHID MKWINDA AKISOMA MALALAMIKO KWA NIABA YA WANACHAMA WENZAKE
|
WANACHAMA WAKIWA MAKINI KUSIKILIZA TAARIFA YA CHAMA |
MKURUGENZI WA UTPC ABUBAKAR KARSAN ALIYEHUDHURIA KAMA SHUHUDA
KATIKA MKUTANO HUO ALIPATA WAKATI MGUMU WA KUWATULIZA WANACHAMA NA KUWASII WAFUATE KANUNI ZA MKUTANO
|
CHRISTOPHER NYENYEMBE MWENYEKITI
ALIYELAZIMISHWA KUJIUZULU KUTOKANA NA TUHUMA ZA UBADHIRIFU WA FEDHA ZA KLABU
HIYO
|
HII NDIYO KAMATI KUU ILIYODHARAULIWA NA MWENYEKITI NA KUPELEKEA KAMATI HII KUJIUZULU |
HII NDIYO KAMATI KUU YA MUDA ILIYOCHAGULIWA NA WANACHAMA |
KATIBU WA KAMATI YA MUDA USWEGE
LUHANGA AKISHUKURU WANACHAMA BAADA YA KUCHAGULIWA KATIKA KAMATI YA MUDA
|
MWEKA HAZINA WA KAMATI YA MUDA EMANUEL LENGWA AKISHUKURU BAADA
YA KUCHAGULIWA KUSHIKILIA NAFASI HIYO
|
0 comments:
Post a Comment