Hali ilikuwa ni mbaya katika zahama hiyo ya alfajiri ya leo.
Hii ndiyo hali halisi ya tukio lilivyokuwa.
Kenyela akiongea jambo Juu ya ajali hiyo.
Watu wakiangalia magari yao
Gari aina ya Toyota likiwa limebonyezwa na zege.
Gari aina ya Toyota likiwa limebonyezwa na zege.
SEHEMU ya ukuta wa kituo cha mabasi ya kwenda mikoani cha Ubungo, jijini
Dar es Salaam, leo alfajiri umeanguka na kuyaharibu vibaya magari zaidi
ya ishirini yaliyokuwa yameegeshwa nje ya eneo hilo.
Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi
Kinondoni, Charles Kenyela alisema kuwa idadi ya magari yaliyopatwa na
ajali hiyo yanakadiriwa kufikia 24 ambapo watu watatu wanasemekana
wamejeruhiwa.
Magari mbalimbali yakiwa chini ya kifusi.
Baadhi ya magari yaliyoangukiwa na ukuta.
Gari aina ya Noah likiwa limegandamizwa na zege.
Baadhi ya mashuhuda wa ajali hiyo
Mkatisha ushuru wa maegesho hayo akiendelea kukusanya ushuru.
chanzo vijimambo
0 comments:
Post a Comment