mtaji wa kwanza katika kusaka mafanikio ni afya njema na hapa mungu mwenyewe anahusika, mtajiwa pili ni marafiki hapa wewe mwenyewe unahusika, mtaji wa tatu ni juhudi zako mwenyewe, so jipangee kuhakikisha kila unachokitarajia kinafanikiwa nami pia nafanya hivyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment