Hatimae Kanisa katoliki limempata kiongozi mpya atakaye chukuwa mahali pa Papa Benedict aliyejiuzuli.
Papa Mpya alichaguliwa katika duru ya tano ya
upigaji kura uliofanywa na makadinali 115 waliokuwa wakikutana katika
kanisa la Sistine Chapel huko Vatican , Roma.
Maelfu ya watu
walikusanyika eneo la St. Peters huko Vatican pamoja na dunia nzima walikua wakisubiri
kujua jina la Papa mpya na ataamua kuchukuwa jina gani la Ki-Papa.
Shangaa usibishe huyu ni ndege wa kawaida tuingekua pale kwetu pale ingekua si bure kwa iman zetu
0 comments:
Post a Comment