Viwanja vitakavyo tumika katika hatua hii ni Bandari Tandika, Mwalimu Nyerere Magomeni na kwa mara ya kwanza uwanja wa Karume utatumika katika mashindano hayo.
Mashindano hayo yanadhaminiwa tabibu bingwa wa matatizo
ya afya uzazi kwa wanawake na wanaume Dr Mwaka kutoka kituo cha Foreplan Clinic
kilichopo Ilala Bungoni Dar es salaaam pamoja na Bakharesa Food Product kupitia
bidhaa zake mbalimbali.
HATUA YA 16 BORA YA NDONDO CUP 2015.
Tarehe
Timu
Uwanja
10/08/2015 ABAJALO FC vs WAUZA MATAIRI FC…….Mwl Nyerere
11/08/2015 STAKISHARI FC vs FARU JEURI……………………Bandari
12/08/2015 KEKO FERNITURE vs BUGURUNI
UNITED…….Bandari
13/08/2015 MAKUMBA FC vs TEMEKE MARKET…………...Bandari
14/08/2015 FRIENDS RANGER vs GOMS UNITED…………..Karume
15/08/2015 BOOM FC vs NDANDA REPUBLIC……………….Karume
17/08/2015 BLACK SIX vs BURUDAN FC……….………………Bandari
18/08/2015 FC KAUZU vs SIFA UNITED…………………........Bandari
0 comments:
Post a Comment