Monday, June 1, 2015
ANDY MURRY KUMVAA MFARANSA ROBO FAINAL FRENCH OPEN
Mwingereza huyo nambari tatu kwa ubora duniani anapambana na mchezaji namba 45 kwa ubora.
Wachezaji hao wamekutana mara saba, na Murray kushinda mara sita ukiwemo mchezo wa uwanja wa udongo mjini Roma, Italia Mei 13.
Murray anaingia katika mchezo huo akiwa na rekodi ya kutofungwa michezo 13 mwaka huu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment