Busungu msimu uliomalizika mei 9 amefanikiwa kufunga magoli 8 na kuwa mmoja wa washambuliaji wakali msimu huo.
Awali busungu alitajwa kutaka kusaini simba lakini taarifa za ndani ya uongozi huo wa timu hiyo zinadai kuwa wameshindana katika sign fee ambapo nchezaji huyo alikua anahtaji fedha nyingi.
Busungu kabla ya kutua Mgambo alikua anaichezea timu ya Polisi morogoro.
0 comments:
Post a Comment