Baada ya kuondokewa na wachezaji wake muhimu katika
nafasi ya kati kati, timu ya Mbeya City imeanza kuziba nafasi hizo.
Timu hiyo hii leo imetangaza kuwasajili wachezaji wawili
kutoka timu ya JKT Ruvu na Coastal Union.
Afisa habari wa mbeya city Dismas Ten amewataja wachezaji
hao kuwa na Haruna Shamte wa JKT ruvu na Joseph Mahundi kutoka Coastal Union.
0 comments:
Post a Comment