Main Menu

Friday, June 7, 2013

MAMBO YA SINGAPORE KWA WALE WAZEE WABATA


Wakati Dar es salaam unaambiwa nenda kashangae feri ambapo shilingi inazama ila meli inaelea, kwa upande wa jiji la Singapore ni tofauti kidoooogooo.... Hapo unaambiwa nenda Marina Bay kashangae meli iko juu ya vikwangua anga...Hii ni mojawapo ya hoteli za kitalii maarufu san
a jijini Singapore yenye bonge moja la Casino. 

Kiingilio kwa wageni ni bure... kwa wenyeji dola mia za Singapore...



0 comments:

Post a Comment