Winga wa Manchester united Angel di Maria (kushoto) akiwa na mshambuliaji wa timu hiyo Radamel Falcao (kulia)
Hatimaye kocha wa timu ya taifa ya Argentina Gerado
‘Tata’Martino amemjumuisha katika kikosi chake winga wa klabu ya Manchester
United Angel Di Maria katika kikosi cha mwisho cha timu hiyo kitakachocheza
michuano ya Copa Amerika kule nchini Chile mnamo mwezi juni.
Katika kikosi hicho wapo pia Marcos Rojo, Sergioa Kun Aguero na Pablo
Zabaleta .
Kikosi kamili cha Argentina hiki hapa:
Goalkeepers:
Sergio Romero, Nahuel Guzman, Mariano Andujar.Defenders: Pablo Zabaleta, Facundo Roncaglia, Ezequiel Garay, Martin Demichelis, Nicolas Otamendi, Marcos Rojo, Milton Casco.
Midfielders: Lucas Biglia, Roberto Pereyra, Javier Mascherano, Fernando Gago, Ever Banega, Javier Pastore, Erik Lamela, Angel Di Maria
Attackers: Lionel Messi, Sergio Aguero, Carlos Tevez, Gonzalo Higuain, Ezequiel Lavezzi
0 comments:
Post a Comment