Main Menu

Thursday, April 4, 2013

REAL MADRID ILIVYOIUA GALATASARAY KATIKA ROBO YA KWANZA YA CLUB BINGWA ULAYA

Real Madrid jana imejiweka katika mazingira mazuri ya kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya klabu bingwa barani ulaya baada ya kupata ushindi wa mabao matatu kwa bila dhidi ya galatasaray katika uwanja wa Bernabeu.

Cristiano Ronaldo alikua wa kwanza kuipatia madrid bao katika dakika ya 9 baada ya pasi nzuri ya ozil kabla ya karim benzema kupachika bao la pili kabla ya mapumziko baada ya kupokea krosi nzuri ya michael esien.
 
Substitute Gonzalo Higuain's katika kipindi cha pili aliihakikishia madrid ushindi kwa kupachika bao la 3, madrid wanahitaji sare yoyote katika mchezo wa marudiano jumanne ijayo katika uwanja wa  Turk Telecom Arena
Up and over: Cristiano Ronaldo scored the first against Galatasaray at the Santiago Bernabeu
Cristiano Ronaldo akifunga bao la kwanza dhidi ya Galatasaray katika uwanja wa Santiago Bernabeu
Up and over: Cristiano Ronaldo scored the first against Galatasaray at the Santiago Bernabeu

MATCH FACTS

Real Madrid: Diego Lopez, Varane, Ramos, Coentrao, Khedira, Ronaldo, Ozil (Modric - 80), Alonso, Essien, Di Maria (Pepe 86), Benzema (Higuain 65)

Subs not used: Adan, Marcelo, Arbeloa, Kaka

Booked: Essien, Modric, Ramos

Goals: Ronaldo 9, Benzema 29, Higuain 73

Galatasaray: Muslera, Dany Nounkeu, Kaya, Eboue, Altintop (Bulut 78), Inan, Felipe Melo, Riera (Amrabat 83), Sneijder (Zan 46), Yilmaz, Drogba

Subs not used: Iscan, Balta, Sarioglu, Kurtulus

Booked: Dany Nounkeu, Felipe Melo, Yilmaz, Drogba

Referee: Oddvar Moen

Attendance: 80,000

In the goals: Karim Benzema got the second for the hosts
 Karim Benzema akishangilia goli la pili

Sea of red: Galatasaray fans lit a flare to celebrate the occasion
mashabiki wa Galatasaray na aina yao ya ushangiliaji

Struggle: Didier Drogba led the line for the visitors
Didier Drogba

Three and easy: Gonzalo Higuain scored the third with a glancing header
Gonzalo Higuain akishangilia goli la tatu alilofunga kwa kichwa
Three and easy: Gonzalo Higuain scored the third with a glancing header

Rough and tumble: Sergio Ramos (left) drags Didier Drogba to the floor in the second half
Sergio Ramos (kushoto) na Didier Drogba wakigombea mpira katika kipindi cha pili

Rough and tumble: Sergio Ramos (left) drags Didier Drogba to the floor in the second half

Putting out fires: Sami Khedira (right) and Ramos tackle Burak Yilmaz


Over you go: Ronaldo hits the deck after Semih Kaya (centre) backs into the Portugal forward

0 comments:

Post a Comment