Mwamuzi wa mechi kati ya Azam FC na Kagera Sugar, Stephen
Makuka na mwamuzi msaidizi namba mbili Said Mnonga wameondolewa kwenye orodha
za waamuzi wa Ligi Kuu na kufungiwa miezi 12 kwa kushindwa kumudu mchezo kwa
uzembe. Adhabu hiyo imetolewa kwa kuzingatia Kanuni ya 38(1) ya Ligi Kuu.
Tuesday, April 28, 2015
WAAMUZI WALIOINYONGA KAGERA SUGAR PALE CHAMANZI WAFUNGIWA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment