Ligi Kuu ya
Vodacom Tanzania inatarajiwa kuendelea kesho jumatano katika viwanja viwili
nchini, jijini Tanga wenyeji Maafande wa Mgambo Shooting watawakaribisha timu
ya Azam FC kwenye Uwanja wa Mkwakwani.
Mjini Morogoro
wakata miwa wa Mtibwa Sugar watakua wenyeji wa maafande wa jeshi la Magereza
nchini timu ya Tanzania Prisons kutoka Mbeya, mchezo utakaopigwa katika dimba
la Manungu Turiani.
Msimamo wa ligi ya vodacom unasomeka hivi ........
0 comments:
Post a Comment