Serikali
imesitisha matumizi ya tiketi za elektroniki kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es
Salaam kuanzia leo (Machi 3, 2015) hadi kasoro zilizopo katika matumizi ya
tiketi hizo zitakapoondolewa.
Uamuzi
huo umetangazwa leo (Machi 3, 2015) jijini Dar es Salaam na Naibu Waziri wa
Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mheshimiwa Juma Nkamia mbele ya viongozi
wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na benki ya CRDB.
IMETOLEWA NA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF)
0 comments:
Post a Comment