Javier Hernandez, David de Gea na Juan Mata wameungana na mchezaji mpya wa Manchester United Ander Herrera katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa.
muhispaniola huyo ametimiza miaka 25 ambapo mchezaji mwenzake Javier Hernandez kupitia mtandao wa Instagram amepost picha ya herrera na kumtakia siku yake ya kuzaliwa.
Hernandez
anaweza kujiunga na Juventus kama sehemu ya makubaliano ya kiungo wa chile na timu hiyo
Arturo Vidal kujiunga man u,
mtoto aliyezaliwa : Ander Herrera kushoto akisheherekea siku ayke ya kuzaliwa na Javier Hernandez, David de Gea and Juan Mata
0 comments:
Post a Comment