Mchezaji wa Timu ya Simba,Hamis Tambwe akipiga Mkwaju wa Penati uliokwenda moja kwa moja wavuni na kuiadikia timu yake bao la pili katika dakika ya 42 ya mchezo huo wa Nani Mtani Jembe Uwanja wa Taifa,jijini Dar es Salaam.
Beki wa Yanga,Kelvin Yongani (kati) akiondoka na mpira mbele ya wapinzani wake.
Golikipa wa Yanga,Juma Kaseja akiondosha moja ya hatari iliyokuwa inaenda langoni kwake.
Mshambuliaji wa Timu ya Yanga,Mrisho Ngassa (17),akiwa mpiga chenga ya Mwili Beki wa Timu ya Simba,Donald Mtosi wakati mchezo wao wa Nani Mtani Jembe kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Golikipa Machachari wa Timu ya Simba,Ivo Mapunda akiruka juu kudaka mpira uliokuwa unaelekea langini kwake.
Simba wakiandika Bao la Kwanza mnamo dakika ya 19 ya mchezo.
Mashabiki wa Simba.
0 comments:
Post a Comment