Leo saa moja jioni timu hizi zitapangwa nne nne kwa ajili ya michuano ya kombe la dunia itakayochezwa
Juni-Julai mwakani.
Makundi yalivyo hivi sasa ni hivi;-
1: Brazil, Spain, Argentina, Belgium, Colombia, Germany, Switzerland, Uruguay.
2: Ivory Coast, Ghana, Algeria, Nigeria, Cameroon, Chile, Ecuador.
3: Japan, Iran, South Korea, Australia, United States, Mexico, Costa Rica, Honduras.
4: Bosnia-Hercegovina, Croatia, England, Greece, Italy, Netherlands, Portugal, Russia, France.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment