Main Menu

Tuesday, November 19, 2013

TRA NA CHANGAMOTO YA MASHINE ZA KIELETRONIKI MPAKA LINI........................?


Hivi ndivyo hali halisi ilivyo katika eneo la Soko Kuu la Katiakoo jijini Dar es Salaam,baada ya wafanyabiashara kugomea kutoka biashara zao zipitie kwenye mashine za kulipia Kodi zinazotolewa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

Wafanyabiashara hao wameamua kufunga Maduka yao na kuweka mabango kama ionekanavyo pichani hapo yakiwa na ujumbe wa kupinga matumizi ya mashine hizo.
Leo ni siku ya pili kwa wafanyabiashara hao kugoma kufanya biashara,na pia huu ni mkoa wa nne sasa baada ya Mbeya,Morogoro na Mtwara.


0 comments:

Post a Comment