Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya aliyemtembelea na kumsabahi hotelini kwake Sandton Sun jijini Johannesburg, Afrika ya Kusini, Oktoba 5, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza jambo na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya aliyemtembelea na kumsabahi hotelini kwake Sandton Sun jijini Johannesburg, Afrika ya Kusini, Oktoba 5, 2013.
PICHA NA IKULU
PICHA NA IKULU
0 comments:
Post a Comment