ILIKUA FULL SHANGWE MWANZO MWISHO
Hii ndio stage ambayo wakali wa muziki tanzania walifanya yao hapa namzungumzia MADEE, NEY WA MITEGO, YOUNG KILLER, DARASA, BABA LEVO, NEMO, WANNE STAR, LINEX, SQUUZER, MICHAEL JAKSON WA BONGO na wengine wengi
Umati ukubwa wa wakazi wa mji wa makambako waliojitokeza kushuhudia tamasha kubwa zaidi nyanda za juu kusini linaloratibiwa na kituo cha radio ebony fm lijulikanalo kama mtikisiko.
Mmoja wa waongozaji wa show hiyo bonny slay
Wasanii wa nyanda za juu kusini med c na meeda walifanya vizuri pia
Mwanamuziki wa nyimbo za asili wanne star akiwaburudisha mashabiki zake
Mkali wa r n'b tanzania nemo akifanya yake
BAADA YA MAKAMBAKO MTIKISIKO UNAENDELEA JIJINI MBEYA TAREHE 16 MWEZI WA 11, UNAHIC WAKALI GANI WATADINDOKA? ENDELEA KUSIKILIZA EBONY FM ......Feel the differrence.
0 comments:
Post a Comment