Siku chache kabla ya maadhimisho ya miaka 15 ya mlipuko wa mabomu katika balozi za marekani jijini nairobi na dar es salaam uwanja wa ndege wa kimataifa wa jomo kenyatta nchini kenya wawaka moto, chanzo cha moto huo bado hakijafahamika, rais uhuru kenyata atembelea eneo la tukio.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment