Main Menu

Thursday, August 1, 2013

PROF HARRISON MWAKYEMBE AZINDUA MAADHIMISHO YA WAKULIMA NANENANE KANDA YA NYANDA ZA JUU KUSINI LEO


  Watu mbalimbali wakiwa katiaka viwanja vya Mwakangale Nane nane kwa ajili ya Kumsikiliza Mgeni Rasmi
 Ebony FM Radio wakiwa LIVE viwanja vya Nanenane
 Kikundi cha TOT Mbeya wakitumbuiza katika Shughuli za uzinduzi wa Nanenane Mbeya
 Mgeni Rasmi Waziri wa Uchukuzi Dr. Halison Mwakyembe Katikati akiwa meza kuu pamoja na viongozi mbalimbali
 Viongozi mbalimbali wakiwa katika Meza kuu
Katibu wa TASO Kanda ya nyanda za Juu Kusini Ramadhani Kiboko akisoma Risala kwa Mgeni Rasmi
Waziri wa Uchukuzi ambaye alikuwa mgeni Rasmi Dr. Harison Mwakyembe akihutubia wananchi katika viwanja vya john mwakangale jijini mbeya.
 
Apiga marufuku matrekta kufanya kazi bandarini na kuwepo mijini atoa miezi mitatu, kuwatumia polisi na sumtra kuwakamata watakaokaidi agizo hilo.
 
awaagiza wataalam wa halmashauri kutafuta njia nyingine za kuongeza mapato na kufutilia mbali kodi ndogondogo zinazowakera wananchi.
 
 
Picha zote na Mbeya Yetu Blog

0 comments:

Post a Comment