Kuna dalili nyingi
ambazo zinajitokeza, lakini ukiona zaidi ya dalili mbili zinajitokeza kuna
uwezekano mkubwa wa kitu kinachoendelea nje ya mahusiano yenu au ndoa yenu.
Maumbile
Maumbile
Viungo vya uzazi
Viungo vya mahusiano vya
mwanamke kwa kawaida bila kuwa na matumizi ya mara kwa mara au muda mrefu
husinyaa misuli yake, lakini inapotokea kuonekana mnapokutana amekuwa ni sawa
na mlango wa kuingilia tembo wakati ulipokutana naye mara ya mwisho au mazoea
ya kukutana alionekana kuwa na sawa ule mlango wa tundu la sindano
lisilopenyeka kirahisi. Ujue anamahusiano nje yako.
Matiti
Kwa kawaida maembe huwa
laini yanaposhikwashikwa, na pale yasiposhikwashikwa huwa magumu, na itokeapo
huna mahusiano labda kwa safari au malezi ya mtoto na vinginevyo na kisha
kukuta hali hiyo ujue kuna big baby anayetumia.
Mitindo na mazoea ya mahusiano
Pale inapojitokeza madai yasiyo ya kawaida kufanywa na kwamba bila hivyo hajisikii vizuri, jambo ambalo hakuzoea, na inapotokea anaonekana kama mzoefu wa mtindo huo, ni dalili tosha kwamba kuna anayemzoesha hayo huko aendako.
Watoto wadogo husaidia kutoa siri
Kumchongea mama kwa baba
ingawa anachoongea huwezi kuelewa
Inapotokea kama ana
mtoto basi baba anaporudi utaona hata kama ni mtoto wa umri wa miaka miwili na
nusu and up anaonekana kuongea mambo ya kukueleza baba kwa mkupuo uanapofika tu
kana kwamba anamchongea mama yake jambo ambalo halijazoeleka, mtoto anapoongea
hivyo utamwona mama yake anamwangalia kwa makini sana ujue kuna kitu mtoto
anakiona kisicho cha kawaida kinachofanywa na mamake.
Kushtuka na kulia
amwonapo mtu anayehusiana na mamake pengine kabla haya akumwogopa
Kwa kawaida mtoto mdogo
anaposhuhudia mtu asiye baba yake akifanya mambo hayo kwa mama yake anafikiri
anamwadhibu, na kwa kawaida kama ni mtu wa karibu anapotembelea nyumbani
utashtukia mtoto analia sana anapomwona mtu huyo humwogopa na kumkimbia, kitu
ambacho si cha kawaida kwake, pengine anaweza akamfananisha na mtu anayemwona
mara nyingi katika shuhguli hiyo, hata hivyo watoto makini sana kwa kunasa sura
ya mtu kwa kawaida hawakosei.
Kutopenda kuondoka na mtoto
Inapotokea mtoto kuonyesha dalili hizo mama anaanza kuwa na mazoea ya kutopenda kutoka na mtoto anapoenda matembezini au shopping, hii ina maana kuendelea kuwa na mtoto pengine anavuruga malengo yake na watu wake. Ikumbukwe kwamba kabla hakuona shida kuondoka na mtoto ko kote aendako.
Kanisani au msikitini
Pamoja na kuwa na mazoea ya kwenda kanisani na kuwa mcha Mungu, inatokea hasa kwa wakristo wakatoliki au waanglikana wenye mazoea ya kushiriki komunyo anaanza kutoshiriki bila sababu za msingi. Baada ya hapo anaanza kutoshiriki ibada na moja kwa moja dhamiri inakufa kabisa hahudhurii kanisani, ni dalili tosha kwamba dhamiri inamshtaki na hivyo ameona bora kuendelea kujiburuza matopeni.
Kuondoka bila kuaga aendako
Kwa kawaida watu wanaoishi pamoja wanakawaida ya kuagana wapi mwenzake anaenda na iwapo inapotokea tatizo rahisi kufuatilia maelekezo aliyotoa kwamba wapi anaenda. Lakini ghafla utaona hapendi kabisa kuaga na pengine anakuwa na kawaida ya kuondoka ghafla kabisa na ukimwuliza anakuwa mkali na anakuambia tu naenda mahala nitarudi na hataki kumchukua mtoto. Ujue kuna kitu kinachoendlea huko aendako.
Zamu za kazi za usiku hasa manesi na wanajeshi
Wenye zamu za usiku inaweza kutokea maelezo ya overtime za mara kwa mara usiku. Ukivinjari maeneo ya kazi kutembelea kuona kama yupo kazini au la utakuta kama ana gari haionekana eneo la kazi. Jaribu kuulizia uongozi unaona wanashangaa kwamba mbona yuko off duty. Hapo kuna kinachoendelea juu ya paa la nyumba nyingine.
Vurugu nyumbani
Ugomvi usioisha wa mara kwa mara, pengine unaweza kushangaa hata sababu haieleweki na anazua jambo tu la ugonvi ujue kuna kitu kinamwasha anamkumbuka mshikaji wake wa huku nje ujuavyo waswahili husema vya wizi vitamu zaidi kuliwa kuliko vya mazoea.
Dalili baada ya kutoka kufanya ufuska
Anaonekana kuwa mchovu.
- Anapiga miayo mirefu ya uchovu tofauti na miayo ya njaa.
- Anatembea kwa kujivuta hasa miguu inaonekana kukosa nguvu ilivyo kawaida.
- Anakuwa na wasiwasi na kujaribu kukusoma kama unaelewa kinachoendelea.
- Anapenda kwenda kulala mapema hata kama hana uchovu wa kazi.
- Hapendi majadiliano au maongezi ya kawaida.
- Dalili tosha kwamba kuna kazi nzito ameifanya huko alikotoka kwa kuona dalili hizo hapo juu.
Uchovu wa sex huambatana na ulegevu wa macho kama una mpenzi
siku ukishafanya nae afu mwangalie machoni atakuwa kachoka na macho yamemlegea
!!
MWANAUME AFANYEJE NA HALI HIYO
Baadhi ya wanaume hupaparikia hali hiyo na kuzua
ugomvi wa ajabu kwa mwenzake anayefanya ngono zembe nje ya mahusiano yao.
Usionyeshe dalili za kufahamu kinachoendelea usije kumshtusha, bora tulia
kwanza.
Kuna sababu nyingi zinazoweza kusababisha hilo litokee kama ifuatavyo:
Kuna sababu nyingi zinazoweza kusababisha hilo litokee kama ifuatavyo:
- Kutokuwa pamoja kwa muda mrefu kwa sababu ya kikazi, masomo au uhamiaji
- Ugomvi ambao humfanya mwingine asijisikie vema kwa mwenzake
- Dalili za kuambikizwa magonjwa pengine hufanya mwingine aogope kuhusiana naye kama ilishawahi kutokea
- Kutoridhishwa kwa mwenzake pengine kabla ya ndoa au mahusiano alikuwa na mwingine aliyemzoesha zaidi ya ufanyavyo.
- Mazingira ya kazi afanyayo humletea vichocheo vya kufanya ngono zaidi hasa kwa manesi wanafinyama miili ya watu kila siku makazini na hivyo huwaamsha kufanya ufuska.
- Self control inapokusekana hasa elimu ya saikolojia ambayo ndiyo kinga madhubuhi ya kujilinda.
- Kuiga na kufanyia mazoea tunayosoma na kujadiliana mitandaoni ndiyo yanayoamsha silika ya kufanya ufuska.
- Nk
Mwanaume mwenye akili timamu haoni sababu ya kugombana na mtu ambaye kwa utashi ana akili yake ameamua kufanya afanyavyo na pengine kufikia hatua ya kutomjali mtoto wake kama anaye.
Pengine utulivu wa mwanaume kwa kutoonyesha dalili wazi anazoona na viashiria kadhaa inaweza kusaidia kujua mengi zaidi kwa sababu mwanamke baada ya kufanya siri muda mrefu na kufikiri mwanaume hajui anaanza kutokuwa na wasiwasi na pengine kuamua kumwacha mumewe nyumbani na kwenda kulala na wanaume nje, hilo hutokea mara nyingi kwa visingizio mbalimbali kama shopping, zamu ya kazi overtime, kutembelea binamu nk.
Utaona anajifungia chumbani kwamba analala kumbe anawasiliana na hawara zake kwa simu kisha anakurupuka ghafula kutoka kwa kusema naenda mahala nitarudi, na ujua vya wili just two hours zinatosha.
Jambo la msingi mwanaume tulia na tunza kichwa na kama una familia peleka nguvu zako kulea familia yako. Kwa kawaida mambo haya mwenyewe ataumia siku yake na kujutia, na pengine mwanaume jihadhari kwani kama ulishapata dalili awali ya mambo yasiyo kawaida basi usije shtukia yamekukuta maana akishazoeana na hao wa nje pengine hawatakuwa na haja ya matumizi ya kuvaa socks.
Uchovu wa kufanya
kazi ya mikono siku nzima ni sawa na uchovu wa kutoka gymnasium. Tendo la
mahusiano baada ya maungo, vionjo na mwili kuridhika viungo na maungo ya mwili
hulegea kitu ambacho macho huonyesha wazi ulegevu huku kulegea kwa viungo vya
mwili huwa vinavyoathiriwa na ulegevu huo zaidi ni kiuno na miguu kwa mwanamke.
Tofauti mwanaume huwa na uchovu wa mwili mzima maana huwa na kazi kama ya
mwanariadha tofauti na mwanamke. Tofauti ya mchoko wa kazi, mazoezi na huu wa
ngono ni pale mwanamke aliyetoka kwenye ngono huwa:
- anapotembea amelegea miguu.
- kuonekana kiuno hakina nguvu.
- kujinyoosha na kujishika kiuno.
- Anatembea kwa kujivuta na kujikazakaza.
- akipiga miayo mirefu huku akijinyoosha kama ya kuishiwa nguvu tofauti na ya njaa.
- ukimwangalia machoni macho yamelegea kwa sana tu.
- ukimwangalia usoni anapenda kukwepesha macho yasikutane na yako.
- Ukiendelea kudadisi kwa kumwangalia anaonekana kuwa na aibu iliyofichika.
- Pia huonyesha wasiwasi fulani usoni pake kama tendo hilo la ngono ni la kuibia.
- Kawaida halali usingizi ila kujipumzisha tofauti mwanaume hulala usingizi baada ya tendo.
0 comments:
Post a Comment