Abdulfatah murtadha akiwa na mkewe pamoja na wapambe wao katika hafla ya kumtambulisha mke wake kwa wafanyakazi wenzake wa ebony fm mkoani iringa, party iliyofanyika katika ukumbi wa veta mkoani humo
afisa habari wa tanzania national park nyanda za juu risala akizungumza katika party hiyo kama mmoja wa wadau wakubwa wa ebony fm, ambapo aliahidi kuwapeleka maharusi kutembelea mbuga ya ruaha kwa siku mbili yani animoon, huku simba anaunguruma huku abdul anaunguruma hapo patamu hadi nami nataman kuoa.
mtangazaji wa kipindi pendwa cha michezo cha ebony fm (anga la michezo) yusuph mkule (kulia) na teddy hankungwe anayefanya kipindi cha usiku midnight.
mmoja wa wanakamati ya maandalizi ambaye pia ni mfanyakazi wa ebony fm yahaya mohamedy akikagua ukumbi kabla ya party hiyo
shughuli za waandishi bana hazikosi mapaparazi, katikati mwandishi wa star tv na radio free afrika oliver moto
mambo ya kuvisha pete hayo na ole wako tusikuone nayowafanyakazi wa ebony fm kutoka kulia groly pele na mhasibu grace mwabulesi akiwa na mmewe
madada na shangazi wa bw harusi katika shughuli
mambo ya kulishana keki hayo
mama mkwe wake na abdulfatah
mwarabu wa dubai hatya omary akionyesha vitu vyake mara baada ya dj kucheza wimbo wa mzee yusuf
abdul na mama mkwe wakehahahaha hapo bw harusi akicheza nyimbo ya kwao hata cjui inaitwaje
wafanyakazi wa ebony wakitoa pongezi kwa mwenzao
yusuph mkule cjui anamwambia nn bw harusi au anaomba no ya mdogo wa bi harusi?
dj kwasa akitoa pongezi
legendari maregesi gerishon akitoa pongezi kwa maharusi
big alen philip nae hakua nyuma kutoa pongezi
fundi mitambo wa ebony fm akiwaongoza wenzake kupeleka zawadi kwa bw harusi
0 comments:
Post a Comment