Wanavicoba wakianza kutawanyika baada ya kukubaliana mambo mbalimbali yatakayokuwemo kwenye katiba yao.
Kazi ilianza siku ya kwanza tu, mhasibu wa kikundi hicho ambaye pia ni mhasibu wa Ebony fm Grace Mwabulesi akiweka mambo sawa.
Glory Pelle mtangazaji wa kipindi cha wanawake na maendeleo Ebony Fm akiwa amejichokea mwenyewe kwenye kikao hicho kilichofanyika Garden ya manispaa ya Iringa
Mtangazaji wa kipindi cha jambo beat cha ebony fm aisha sandigah, mmoja wa vicoba hiyo akiwa kajiachia baada ya kikao chao cha kwanza.
0 comments:
Post a Comment