Main Menu

Friday, July 19, 2013

TANZANIA YAPOKEA MKOPO WA BILIONI 87 ZA UJENZI WA VITUO VYA KUHIFADHIA VITAMBULISHO VYA TAIFA KUTOKA BENKI YA EXPORT IMPORT YA KOREA


Waziri wa Fedha Dkt.William Mgimwa na Mwenyekiti na Rais wa Benki ya Export Import ya Korea wakisaini mkataba wa mkopo kwa ajili ya kujenga vituo vya kuhifadhi vitambulisho vya Taifa  jijini Dar Es Salaam.
Waziri wa Fedha Dk.William Mgimwa na Mwenyekiti na Rais wa Benki ya Export Import ya Korea wakiangalia mikataba ya mkopo baada ya kusaini kwa ajili ya kujenga vituo vya kuhifadhi vitambulisho vya Taifa.
Waziri wa Fedha Dk.William Mgimwa (kushoto)akimpa mkono wa shukrani Mwenyekiti na Rais wa Benki ya Export Import ya Korea baada ya kusaini mkataba wa mkopo kwa ajili ya kujenga vituo vya kuhifadhi vitambulisho vya Taifa .
Waziri wa Fedha Dk.William Mgimwa kushoto akiwa na Mwenyekiti na Rais wa Benki ya Export Import ya Korea wakionyesha mkataba wa mkopo wenye thamani ya shilingi billioni 87 za kitanzania,waliosaini kwa ajili ya kujenga vituo vya kuhifadhi vitambulisho vya Taifa.
Waziri wa Fedha Dk.William Mgimwa akitoa neno la shukrani kwa niaba ya Serikali ya Tanzania kwa Mwenyekiti na Rais wa Benki ya Export Import ya Korea baada ya kusaini mkataba wa mkopo kwa ajili ya kujenga vituo vya kuhifadhi vitambulisho vya Taifa  jijini Dar Es Salaam.

Picha zote na Lorietha Laurence-MAELEZO


0 comments:

Post a Comment