Redds Miss Iringa kufanyika leo katika ukumbi wa Highlands kuanzia majira ya saa moja jioni kwa kiingilio cha shilingi 15,000.
Mtandao huu utakuletea matukio ya shindano hilo moja kwa moja kutoka ukumbini ambapo washiriki kumi watakua wanachuana kutafuta nafasi ya kushiriki miss kanda itakayofanyika badae jijini mbeya.
0 comments:
Post a Comment