Main Menu

Thursday, June 20, 2013

HUYU MTU MI KANISHANGAZA, VIPI WEWE............?

Huyu mshkaji anafahamika kama Allen juzi kati wakati tunapata chakula cha mchana pamoja, alinishangaza kwa kauli yake kuwa akinywa maji ya dukani yale ya chupa ya kampuni yoyote ile etii analewa.

Na hili liliibuka baada ya mimi kumaliza kula na kuagiza maji naye pia akaagiza maji madogo kwa bahati mbaya hayakuwepo akaletewa makubwa na ndipo story hizo zilipoanza kuwa hawezi kunywa makubwa coz akiyamaliza atalewa, sio kwa sababu ya shibe hapana ni kwa sababu ya maji so huwa hapendi kunywa maji.

Mimi nilishangaa cjui wewe kama umewahi kutana na mtu wa aina hii.


0 comments:

Post a Comment