KITIKIO x 2
Yahaya unaishi wapi /….kwani jina lako halisi nani …
yaahaya heeeeeee ( ooo yahaya x3 )
maskani yako kinondoni /. .. nyumba namba haijulikani …
yaahaya heeeeeee ( ooo yahaya x3)
STANZA
HUYU kijana mwenzetu kila siku tupo naye maskani/….
Anakula ofa za watu anapoishi hata apajulikani/…..
Tumetafuta tumeuliza hakuna ajuaeee /….
Anavyozuga anavyopita si umzaniae/ …..
na hafanani kabisa na fix anazofanyaaa/….
akidanganya kwa kina unaingua kingi unafata /….
kumbe hana helaaaaaa ………..longolongo nyingi
KITIKIO x 2
Yahaya unaishi wapii/….kwani jina lako halisi nani…
yaahaya heeeeeee ( ooo yahaya x3 )
maskani yako kinondonii /. .. nyumba namba haijulikani …
yaahaya heeeeeee ( ooo yahaya x3)
STANZA
Kwa stori za vilingeni utafikili kweli yeye ndio bosi /….
suruali zake na mashati anasema anafanya kazi benki /…..
mara anasema usalama wa taifa hakuna ajue/…
kalubandika wa kizazi kipya sio umdhaniae/…
na hafanani kabisa na fix anazofanya /…
akidanganya kwa kina unaingia kingi unafata/….
kumbe hana helaaaaaa ………..oooh yahaya
KITIKIO x 2
Yahaya unaishi wapii/….kwani jina lako halisi nani…
yaahaya heeeeeee ( ooo yahaya x3 )
maskani yako kinondonii /. .. nyumba namba haijulikani …
yaahaya heeeeeee ( ooo yahaya x3)
KIBWAGIZO
mara anasema usalama wa taifa hakuna ajue/…
kalubandika wa kizazi kipya sio umzaniae /…
na hafanani kabisa na fix anazofanya /…
akidanga nya kwa kina unaingia kingi unafuata
kumbe hana helaaaaaa……..
0 comments:
Post a Comment