Main Menu

Tuesday, June 25, 2013

CHADEMA HATARINI KUFUTWA IKITHIBITIKA KUHUSIKA NA MLIPUKO WA BOMU

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini John Tendwa,Akizungumza katika kipindi cha Hot Mix cha East Africa Television akijibu swali la mtangazaji wa kipindi Adrian Stepp, msajili wa vyama vya siasa nchini amedai kuwa ikibainika kuwa CHADEMA ndio waliohusika katika kulipua bomu katika mkutano wao wa 15/06/2013 atakifuta.

Alipoulizwa kama itathibitika kuwa CCM ndio walihusika kulipua bomu hilo amedai kuwa hawezi kukifuta kwakuwa kwa kufanya hivyo itakuwa ni kufanya mapinduzi ya kalamu. Kwamba CCM ikifutwa nchi itaparaganyika na kusababisha jeshi kuchukua nchi.


kutoka jamiiforum

0 comments:

Post a Comment