Dj kwasa AKA bwana harusi mtarajiwa akiwa katika moja ya
duka kali la pamba mkoani iringa akichagua suti.
duka kali la pamba mkoani iringa akichagua suti.
mwenyekiti wa kamati ya maandalizi sagini majura naye akijaribisha suti kwa ajili ya shughuli hiyo inayotarajiwa kufanyika mapema mwezi wa saba.
Mmoja wa wanakamati na mfanyakazi mwenzake yahaya mohamedy naye aliongozana na bwana harusi kufanya shopping.
0 comments:
Post a Comment