Lulu akiwa na mama yake mzazi leo walipo tembelea kaburi la marehemu Steven Kanumba |
Dua ikachukua nafasi yake |
uvumilivu ukamshinda lulu machozi yakaanza kumbubujika |
mama kanumba naye alikuwepo kwny msafara huo, hapa akiweka shada la maua |
mama kanumba akiwa na lulu katika picha ya pamoja |
Lulu na mama yake mzazi |
wacheza filamu mbalimbali walijitokeza katika kumbukumbu hii ya mwaka mmoja tangu kufariki kwa stiven kanumba |
wengi wanafuata nyayo zako bro
0 comments:
Post a Comment