Main Menu

Thursday, April 18, 2013

HIKI NDICHO KINACHOTOKEA KATIKA UTENGENEZAJI WA VIDEO YA NGOMA MUZIKI GANI YAKE NEY WA MITEGO FT DIAMOND

LOCATION ILIANZIA HAPA....
Matayarisho yakianza....!!
Lights On.....Camera On Set....!!
Mara Bangi ,Mara Matusi sa ndo Muziki gani....?

DJ Ommy Crayz the only handsome dj in town akiwa na msanii nguli kutoka South Africa Qboy Mnyama....!!

Diamond Platnumz with Flowers....!
From Left to Right.....Qboy Mnyama...Esma Khan,Faridah,Mariam and the President
Himself Diamond...!!




President wa wasafi Diamond Platnumz akiwa na flowers...!

The Bigdaddy Himself Adam Juma akifanya yake....!!
Ilikuwa Location upande wa Casino.....






WASAAAFIIIIII......!!




Jamaa huyu ndo aliechora graphics zote kutoka mkong'oto jazz band
na kuchora michoro tofauti ....!!



DJ OMMY CRAYZZ...!
















PICHA HIZI NI KWA NIABA YA THIS IS DIAMOND

0 comments:

Post a Comment