Tulikupenda lakini Mungu amekupenda zaidi R.I.P..........KIDUDE BINTI BARAKA |
Jeneza la bibi likielekea msikiti kwa ajili ya kusaliwa |
Mtangazaji Hassan Bond, Fid Q, Diamond Platnumz na Ruge Mutahaba wakiwa msibani nyumbani kwamarehemu bi Kidude, Zanzibar |
Msanii Fid Q, Baraka cousin ya Marehemu Bi Kidude na Hassan Bond Mussa (FID Q ndo alikuwa msanii wa kwanza mkubwa kufika msibani kwa bibi) |
Ruge mutahaba, Babu Tale and Guru. .......msibani kwa Bi Kidude |
Guru G na Mh Bhaa mazikoni |
Hassan na Fid Q wakiwa katika picha ya pamoja na familia ya Marehemu Bi Kidude |
Sehemu ya umati wa Watu waliofika msibani |
0 comments:
Post a Comment