Main Menu

Friday, April 12, 2013

BARCELONA USO KWA USO NA BAYERN NUSU FAINAL UEFA, RATIBA KAMILI HII HAPA

Droo ya nusu fainali ya michuano ya vilabu barani ulaya imechezeshwa hii leo.

Droo hiyo ni ile ya michuano ya club bingwa ulaya ( Uefa champions league)
na ile ya Ueropa league.

RATIBA KAMILI YA MICHEZO HIYO HII HAPA

EUROPA LEAGUE

FC FENERBACHE VS FC BENFICA

FC BASEL VS FC CHELSEA

UEFA LEAGUE

BUYERN MUNICH VS FC BARCELONA

BRUSSIA DORTMUND  VS REAL MADRID

mechi za awali za nusu fainali za uefa zitapigwa april 23

0 comments:

Post a Comment