Main Menu

Friday, March 1, 2013

MTANGAZAJI WA EBONY FM, BONNY SLAY AKA OBAMA KATIKA SHOW YA VUTA PUMZI.

mtangazaji wa ebony fm bonny slay aka obama akiwa kibaruani kwake hii leo katika kipindi pendwa cha vuta pumzi, kipindi hiki kinafanyika kila cku ya jumatatu hadi ijumaa saa kumi kamili hadi saa kumi na mbili 87.8 iringa, 88.2 makambako, 94.7 mbeya pia kupitia www.ebonyfm.com.

0 comments:

Post a Comment