Diwdiwani viti maalum kanda ya kihesa farida mpogole na diwani wa kata ya gangilonga nicolina luandala wakielekea kupanda miti.
diwani viti maalum farida mpogole akipanda mti katika eneo la wazi zilipo ofisi za kata ya gangilonga.diwani wa kata ya gangilonga nicolina luandala akipanda mti katika eneo la ofisi yake.
baadhi ya wanafunzi na wananchi wa kata hiyo wlioshiriki zoezi hilo
afisa mtendaji wa kata ya gangilonga akipanda mti kufanikisha zoezi hilo
madiwani wakiongea na wana habari
baada ya kazi ya kupanda miti kukamilika vijana walikabidhiwa mipira kwa ajili ya kuwafanya wawe bize na kupunguza ukaaji wa vijiweni na kasi ya maambukizi ya virusi vya ukimwi.
0 comments:
Post a Comment