wengine wakitunishiana misuli wenginesijui wanafanya nn hapo chini
kiungo wa bayern Schweinsteiger akionyeshwa kadi ya njano itakayomfanya akose mchezo wa marudiano
kocha wa arsenal arsene wenger akiwa na msaidizi wake baada ya game kumalizikamuller akifunga bao la pili mbele ya kiungo wa arsenal arteta
mshambuliaji wa arsenal podoski akishangilia goli pekee la timu yake na mjerumani mwenzake mertesacker
thomas muller wa bayern akifunga bao la pili dk 21 kroos mshambuliaji wa bayern akifunga bao la kwanza la timu yake dh ya 7
mchezaji aliyeanza kupeleka kilio arsenal kroos
0 comments:
Post a Comment