Main Menu

Wednesday, January 2, 2013

SAJUKI KUZIKWA IJUMAA KATIKA MAKABURI YA KISUTU JIJINI DAR

                                  Mama mzazi wa sajuki akiwa hajitambui
                                              mke wa marehemu wastara akipewa pole na waombolezaji
                                ndugu wa marehemu akilia alipokua akihojiwa na mtangazaji wa itv
hapa sajuki alipokua ameanguka mkoani arusha katika uwanja wa shekh amri abeid akifanya tamasha lake la kutoa shukran kwa watanzania kwa kumchangia na kufanikisha safari ya matibabu nchini india, baada ya kuanguka siku hiyo hali yake ilizidi kuwa mbaya hadi mauti yalipo mkuta asubuhi ya tarehe 2.
                     naibu waziri wa mawasiliano, sayansi na teknolojia january makamba akiwa msibani
                             watu wakielekea nyumbani kwa marehemu

0 comments:

Post a Comment